Huu hapa ndo mjengo mpya anaoujenga kisura wetu kutoka pande za Runzuwe Tamali (SADA) ni waukweri ucheki hapa
Hakika ukijituma sana na mafanikio
utayaona na moja ya mafanikio hayo ni pamoja na ujenzi. Haya hapa ni
baadhi ya mafanikio aliyopata aliyopata kisura wetu kutoka pande za
Runzewe. Shebby D Blog inampa ongera sana akomae hivyo hivyo . Msome bofya hapa na kupitia facebook huyu hapa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni